Na John Richard
Pierre Emerick Aubameyang ameingia kambani mara tatu yaani hat trick hapo jana na kuiwezesha klabu yake ya Borussia Dortmund kuibugiza Benifica bao 4-0.
kunako dakika ya 4 Aubameyang alianza kuzisalimia nyavu za lango la Benifica, akaarudi tena dakika ya 61 na 85 na msumali wa mwisho ukipigwa na Christian Pulisic.
Ushindi huo unaipeleka Borussia katika hatua ya Robo fainali ya Uefa 2016/17
Aubameyang
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment