Na Doroth Mnubi
MSANII maarufu wa muziki wa kizazi kimpya Nassebu Abduli (Diamond) Leo ametambulisha logo yake mpya aliyoipa jina la Wasafdotcom kupitia ukirasa wake Wa instagram.
Diamond amesema kuwa kupitia logo hiyo mashabiki wake wanayofulsa ya kupata muziki kutoka kwa wasanii mbalimbali ndani na nje ya nchi lakini pia itawasaidia wasanii kupata haki zao na kuondokana na usumbufu kwa baadhi ya wamiliki mbalimbali Wa logo nyingine za miziki ambao wanafaidika kupitia wao na wasanii hawapati chochote.
"Lengo kuu la kuanzisha mtandao huu ni kuweza
kuwarahisishia mashabiki na wadau Wa mziki wetu muweze kupata kazi zetu kwa
urahisi na haraka na kutusapoti sisi vijana wenu kuweza kuwatengenezea kazi
zenye ubora zaidi" alisema diamond,
Akiongezea kuema
amesema kuwa Siku ya kesho ijumaa mwanamziki kutoka wasafi hamorneze atatoa
nyimbo yake mpya inayoenda kwa jina la "nambie" itakayo patikana
kwenye iyo logo na si kwingine.
0 comments:
Post a Comment