BELLE9 ATOA UJUMBE KWA WANAO MWONGELEA.



Na. Melkiory Gowelle
Mkali wa muziki wa R&B nchini Abelnego Damian ‘Belle 9’ amesema huwa anajiona yupo kwenye nafasi nzuri zaidi pale watu wanapo ongea kuhusu yeye, haijarishi iwe kwa ubaya au kwa uzuri.


Akizungumza Jijini Dar es salaam nyota huyo anaye sumbuwa na jiwe lake la ‘Give it to me’ amesema kuwa hawezi kuwazuia watu kumwongelea , hivyo wanapo fanya hayo huwa anapata picha kamili ya pale alipo.


“wanapo ongea chochote ‘I mean negative or positive’ lakini wana niongelea mimi basi ni dhahiri kuwa nipo katika ‘position nzuri’ hivyo ni vyema waendelee kuongea kuliko kukaa kimya kabisa.” Alisema Belle 9.

Share on Google Plus

About BASEMENT255

0 comments:

Post a Comment