Na Anna
Richard
MWANAMITINDO Khadija mwanamboka ambae pia kwa sasa ni
balozi wa watoto wenye ulemavu wa kusikia, pamoja na kuona atoa njia za
mafanikio yake na kuwasisitiza wanawake kuendelea kujituma bila kujari
una nyazifa gani kwenye jamii inayo kuzunguka.
Akizungumza hayo katika tafrija fupi iliyo fanyika
siku ya wanawake duniani Khadija alisema akuna nafanikio yanayomfata mtu siku
zote mafanikio huwa yanasubiri mtu ayafuate huwa hayaji hivihivi'
"Sitaki kuwadanganya wanawake wenzangu
kujituma ndio chachu ya mafanikio akuna mafanikio yanayo mtafuta mtu siku zote
mafanikio huwa yanasubiri mtu uyaji hivihivi" alisema
Aliongezea kuwa wanamke ni jeshi kubwa hivyo
bas aina budi kujitoa muhanga kwa jambo lolote
0 comments:
Post a Comment