Na Saphinia Seleman
RAIS wa Korea kusini Park
Geun-hye Ameondolewa Madarakani na Mahakama ya katiba nchini humo
baada ya Bunge kumpigia kura ya kumtoa Madarakani kutokana na
tuhuma za rushwa.
Mahakama hiyo ya kikatiba imesema kuwa bi
park alikiuka sheria na kuharibu demokrasia.Park ambaye ndio
Mwanamke wa kwanza kuwa Rais nchini humo alihusishwa na
kashfa ya kujipatia fedha kwa njia ya ufisadi katika
makampuni makubwa nchini humo.
Baada ya
Geun-hye kutolewa madarakani ofisi ya Rais imesema kuwa
hataoondoka Ikulu leo wala kutoa Tamko lolote.
0 comments:
Post a Comment