WACHINA WATAMSIKIA ROONEY KWENYE BOMBA



                                            

Kurudi kwa Wayne Rooney katika Club yake ya mwanzo ya everton kwa karibia, hii ni baada ya kocha wa everton Ronald koeman kudai kuwa suala la kiungo huyo kurudi clabuni hapo litaongelewa rasmi katika kituo cha michezo cha sky sports news HQ.

Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 31alianza kucheza mpira kwa mara ya kwanza katika club ya Merseyside akiwa na umri wa miaka 16 ambapo baada ya miaka miwili alisaini kunako klabu ya Machester United.

Rooney ambaye ni nahodha wa England amekuwa pembeni mwa kikosi cha Jose Mourinho katika msimu huu, na inatarajiwa katika msimu ujao wa joto kuhama Old Trafford. Rooney ambaye mwanzoni alisema hawezi kucheza ligi ya uingereza nje ya Manchester united au Everton kwahiyo kama atabaki uingereza tutakuwa tumejua anaenda wapi.
Share on Google Plus

About BASEMENT255

0 comments:

Post a Comment