MAHAKAM KUTUPILIA MBALI OMBI LA MBOWE


Na Doroth Mnubi
        

           Mahakama ya kanda ya Dares salam leo imetupilia mbali maombi yaliowasilishwa na mwenyekiti Wa chama cha democrasia na maendeleo CHADEMA  Freeman mbowe ya kuwa asishikiliwe na jeshi la polisi hadi kesi take ya kikatiba dhidi ya mkuu Wa mkoa Wa Dar es salaam Paulo Makonda  itakapo malizika.
Maombi hayo yamewasilishwa na wakili nguli Tanzania nfugu General Ulimwengu ambayr no wakili Wa mh Mbowe kwenye kesi hiyo. Mahakama  imetupilia mbali maombia hayo kwasababu kifungu hicho cha sheria hutumika pale ambapo sheria zipo kimya


          Uamuzi huo wa majaji umefikiwa na pingamizi la jamuhuri milk low a silos he a na wakili mkuu Wa serikali Gabriel Malata kuomba kuyatupilia mbali maombi hayo kwa sababu hayana mosingi kisheria.
Katika hatua nyengine mwanasheria ulimwengu ameunagana na jopo la mawakili wengine akieemo Tundu Lisu , Peter Kibatala na John Malya katika kumtetea Mbowe

          Kesi iyo itasikilizwa tena tar 8 mwezi huu, Mbowe amegunhua kesi namba 1 mwaka 2017  dhidi ya wadaiwa mwana sheria mkuu wa serikali, mkuu wa Dar es salaam, kamanda Wa polisi kanda ya Dar es salaam na ofisa upelelezi Wa mkoa Wa Dar es salaam dhidi ya kuhusishelwa na madawa ya kulevya.
Share on Google Plus

About BASEMENT255

0 comments:

Post a Comment