Na, saphinia seleman
Mbunge wa Arusha mjini Godbless lema aachiwa kwa dhamana baada ya
kukaa ndani kwa miezi 4 tangu mwezi wa 10 mwaka Jana.
Mahakama kuu kanda ya A rusha mjini leo March
3, 2017 imemuachia kwa dhamana mbunge huyo huku ikimtaka lema
asaini Bondi ya shilingi million 1 na wadhamini wawili wenye vitambulisho
vinavyotambulika, ambapo alikidhi vigezo na kuachiwa huru.
0 comments:
Post a Comment