RAIS ATOA PONGEZI KWA DANGOTE

Na AnnaRichard


Rais Dr John Pombe Magufuri atoa pongezi kwa mmiliki wa kiwanda cha dangote kuwa kiwanda chake kimekuwa miongoni mwa viwanda vinavyo lipa kodi ipasavyo.


Akizungumza hayo katika tafrija ya kuzindua magari katika kiwanda hicho Dr John Pombe Magufuri alisema kiwanda cha dangote kimekuwa kiwanda moja wapo kilichofanya inchi yetu kuwa na mabadiliko yanayo yanayo chochea ukuaji wa uchumi.

" napenda kumpongeza muwekezaji dangote kwakuwa amekua mfano mzuri wa wawekezaji amekua mlipaji mzuri wa kodi mpaka sasa ulipaji wake wa kodi umefikia billion46" alisema
Rais Magufuri.

Aidha Dakta Magufuli ametoa msisitizo kwa wawekezaji kuiga mfano kutoka kwa Dangote kulipa kodi kwa wakati kwasababu kukua kwa uchumi wa nchi unakuja pale unapo lipa kodi kwa wakati.
Share on Google Plus

About BASEMENT255

0 comments:

Post a Comment