RC "MAOMBI NI SILAHA KUBWA"


Na Anna Richard




Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Rc Paul Makonda ameasisitiza wakristo wazidi kuombe kwa ajili ya nchi,Makonda alizungumza hayo akiwa kwenye ibaada ya jumapili katika kanisa la KKKT  Kimara.
mkuu huyo wa mkoa aliongezea kuwa maombi wanayo omba na watu ndio yanayo imalisha nchi 
"Maombi ni silaha kubwa kwa wakristo ili kupiga hatua lazima maombi yawe ni sehemu kubwa kwetu na kwa dini zote" alisema.

   Poul Makonda aliongezea kuwa kamwe maneno ya watu hayato mrudisha nyuma ila  ataendelea kufanya kazi kama kaulimbiu ya rais inavyo sema (Hapa kazi tu) 

" najua wanasema mengi lakini kwangu mimi si kitu nitafanya kazi nilio ahidi na kama kaulimbiu ya rais wangu Dr John Pombe Magufuli inayosema hapa kazi tu  "


Share on Google Plus

About BASEMENT255

0 comments:

Post a Comment