MBUNGE wa
chalinze Ridhiwani kikwete ahojiwa na tume ya kupambana na kudhibiti madawa ya
kulevya.
Ridhiwani amesema amefurahi
kupata fursa ya kueleza ukweli na wamebaini kuwa hauzi wala hasafirishi madawa
ya kulevya .
Aliendelea kusema kuwa roho
yake ikesuuzika na taharuki iliyokuwepo miongoni mwa jamii kuwa huenda anauza
dawa za kulevya sasa inaondoka
Mwenyekiti wa tume
hiyo Jaji Sianga amesema walimuhoji kweli na kila anayetuhumiwa na kuhojiwa
wakibaini anakosa watachukuliwa hatua
0 comments:
Post a Comment