VIGOGO WAWILI WA TFF WAACHIWA HURU





Na Tuzo Mapunda
MAHAKAMA ya hakimu mkazi kisutu jana  march 10,2017, imetupilia mbali taarifa ya mwisho   iliyokuwa inawakabili vigogo wa wili wa shirikisho la Soka Tanzania, TFF. 


Vigogo  hao ni Juma matandika ambaye ni msaidizi wa Rais wa TFF, na Martin  Chacha, ambaye alikuwa Mkurugenzi wa Mashindano. 


Vigogo hao wazamani  wote wa wili walikuwa wanakabiliwa na tuhuma ya kosa la kuomba rushwa ya Tsh milion 25 kutoka kutika klabu ya Geita Gold inayoshiriki ligi Daraja la Kwanza ili waisaidie kupanda Ligi kuu kwa njia ya ujanja ikiwemo kupanga matokeo. 

I lidaiwa kuwa  Vigogo hao wawili walinaswa kwa kurekodiwa sauti zao wakifanya mazungumzo na wanaotajwa kuwa viongozi Wa Geita, 

Lakini baada ya mahakama kujiridhisha na uchunguzi imewaacha huru na kuona hawana kesi ya kujibu Vigogo hao wazamani wa TFF,


Share on Google Plus

About BASEMENT255

0 comments:

Post a Comment