WST HAM, 1-2 CHELSEA.
dakika ya 25 Hazard anazamisha gozi kimyani baada ya timu yake kushambuliwa kwa muda wa dk;24 kunako kipindi cha kwanza.
Shabiki amfakamia Hazard!!, polisi wasimama imara
Mtukutu Diego Costa dk;50 anaiandikia timu yake bao la pili.
Conte aota mbawa sasa mwendo wa kupaaaaaaaaa.
Licha ya wagonga nyundo wa London kuonyesha soka safi muda wote wa mchezo, haikuwa rahisi kupenya ngome ya the bluees, kunako dakika za lala salama Lanzini anapachika bao murua , hadi mwisho Chelsea wanaibuka vidume wakiongozwa na Ngoro Kante.
0 comments:
Post a Comment