Na, saphinia seleman
Mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na maendleo (CHADEMA) Mkoa wa lindi Suleiman Mathew, pamoja Na mwenye kiti wa kata waliokuwa wamehukumiwa kifungo cha Miezi Nane (8), gerezani wamepata dhamana baada ya Mahakama kuu kusikiliza maombi Yao ya kuomba dhamana wakati rufaa yao ikisikilizwa.
Luwongo aliyekua mgombea ubunge wa jimbo la Mtama kupitia Chama cha mapinduzi (CCM) baada ya kutolewa kwenye kura za maoni akaamua kuhamia CHADEMA na kupitishwa kuwa mgombea wa ubunge jimboni humo.
0 comments:
Post a Comment